{"id":535,"date":"2021-10-06T07:33:00","date_gmt":"2021-10-06T07:33:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/10\/06\/mume-anayelia-kuteswa-na-mkewe-kutelekezwa-na-watoto-2\/"},"modified":"2021-10-06T07:33:00","modified_gmt":"2021-10-06T07:33:00","slug":"mume-anayelia-kuteswa-na-mkewe-kutelekezwa-na-watoto-2","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=535","title":{"rendered":"MUME ANAYELIA KUTESWA NA MKEWE, KUTELEKEZWA NA WATOTO (2)"},"content":{"rendered":"<p class=\"MsoNormal\">\u00a0<!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                       MicrosoftInternetExplorer4                                     &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:10.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:115%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin; \tmso-bidi-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-bidi-theme-font:minor-bidi;} &lt;![endif]--><span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/f15f1-ndoa.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"400\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/f15f1-ndoa.jpg?resize=281%2C400&#038;ssl=1\" width=\"281\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Laizer Marko na mkewe Pamela Kayira siku ya ndoa yao<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>\u00a0<\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>*Ni Laizer Marko anayehofia usalama wa maisha yake ndani ya ndoa, bosi Mamlaka ya Chakula na Lishe aficha siri<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>*Aomba huruma ya mkware anayevuruga familia yake, azungumzia uraia wa mkewe na shemeji yake<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>RIPOTA PANORAMA<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>0711 46 49 84<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>SAKATA la wivu na usaliti wa mapenzi ndani ya ndoa linatishia uhai wa ndoa ya wanandoa Laizer Marko na Pamela Kayira na linawanyima watoto wao haki ya malezi bora.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA Blog katika sehemu yake ya kwanza ya makala maalumu ya sakata hili, iliripoti kuwa tuhuma za usaliti wa mapenzi ndani ndoa hiyo zimeibua hofu na wasiwasi katika familia ya Marko na Pamela ambao ni wakazi wa Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Marko, mume wa Pamela ndiye anayefichua kuwepo kwa hali ya hofu na wasiwasi ndani familia yake katika mahojiano aliyoyafanya na Tanzania PANORAMA Blog hivi karibuni jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine anamtuhumu mkewe kuwa chanzo cha kuwepo kwa hali hiyo kutokana na vitendo vyake vya kusaliti penzi lao na kuwatelekeza watoto wake.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Katika mahojiano hayo, Marko anamtuhumu Pamela kuwa na uhusiano wa mapenzi na mwanamume mwingine, kuipa kisogo familia yake, (mumewe Marko na watoto wao watatu), kuwa na kiburi na jeuri, kuondoka nyumbani asubuhi kwenda kazini na kurudi asubuhi ya siku inayofuata akiwa hajulikana alikolala huku akijua kuwa uraia wake pamoja na wa dada yake ni wa mashaka pamoja<span>\u00a0 <\/span>na kuhama nyumbani kwake kwa muda wa miezi sita kwenda kuishi mahali kusikojulikana.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Marko anasema amemgundua mkware mwenye uhusiano wa kimapenzi na mkewe na anamuomba amuonee huruma kwa sababu kitendo anachokifanya kina athari mbaya katika maisha ya watoto wake na kinaiharibu familia yake. Pia anamuomba mwajiri wa mkewe asaidie kuokoa ndoa yake na watoto kupata mapenzi na malezi ya mama yao.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwa upande wake Pamela, anazipuuza tuhuma hizo. Katika mahojiano aliyofanya na Tanzania PANORAMA Blog, Pamela anakataa kutoa ushirikiano na anaikana ofisi anayofanyia kazi.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Wakati Pamela anapuuza tuhuma na kilio cha mumewe, bosi wake, Mkurugenzi wa Taasisi ya Chakula na Lishe, Dk. Germana Henry Leyna naye anakataa kuthibitisha kama Pamela ni mfanyakazi wa taasisi anayoiongoza au lah na anajiweka mbali na ombi la Marko la kumkalisha kitako Pamela kumsihi kuijali familia yake na hasa kulea watoto wake. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORANA Blog ambayo imefuatilia mkasa huu kwa kina imeandaa makala maalumu ikianza na mahoajino iliyoyafanya na Marko anayeeleza kinaga ubaga historia ya maisha baina yake na mkewe, mateso anayoyapata ndani ya ndoa, hofu aliyonayo kuhusu maisha yake na watoto na wasiwasi wa nyendo na uraia wa mkewe<span>\u00a0 <\/span>pamoja na dada yake. <b>Hii ni sehemu ya pili ya makala hiyo.<\/b><\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Marko anasema hivi karibuni, mwezi wa saba au wa nane ndipo mkewe Pamela amerudi nyumbani kutoka alikokuwa amekwenda na kuiacha familia yake. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Anasema, \u201cMwezi wa saba au wa nane akawa amerudi, akawa amekuja na mabegi yake, akanikuta nimekaa sebuleni lakini yale mabegi akawa ameyaficha kwenye maua ili asifahamike kuwa amerudi. Kwa hiyo hatuna mazungumzo naye. Tunaishi kihatari hatari tu, hatari mno.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cTuna mfanyakazi ambaye huwa anatusaidia siku za jumatatu mpaka ijumaa. Ni mke wa mtu. Anatusaidia mpaka saa 10 hivi au saa 11 hivi jioni, anarudi nyumbani. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cSiku za jumamosi na jumapili huwa haji. Siku za jumamosi na jumapili mimi ndiyo napika, siku zote. Mke wangu Pamela hafanyi lolote, hagusi chochote na alishawaambia mpaka na watoto kwamba hatanunua chochote nyumbani wala hatafanya chochote.\u201d<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Alipulizwa kuhusu maendeleo ya watoto wake katika masomo na hisia wanazoonekana kuwa nazo mama yao anapokuwa hayupo nyumbani, Marko anasema, \u201cTumezaa naye watoto watatu, mmoja yuko form three, mwingine ndiyo kamaliza darasa la saba na mwingine ndiyo huyu mdogo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cTena huyu mdogo alishawahi kumsafirisha kama kifurushi, kutoka huko anakokaa akamleta. Akampakia kwenye bajaji kama kifurushi, akamleta. Yaani badala ya kuja naye akampakia tu kwenye bajaji kama mzigo akaletwa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKwa hiyo tuna watoto watatu. Huyo mtoto mdogo ndiyo anaumia sana, hawa wengine wakubwa wameishazoea hizi hulka za mama yao. Wanaumia ndiyo lakini wamezoea kwa sababu labda ni wazima kidogo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cLakini huyo mdogo kuna saa analia mama hayupo zaidi ya miezi sita. Amemtekeleza ameniachia nateseka naye yeye ameenda huko kwenye vituko vyake.\u201d<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kuhusu kuripoti mwenendo huo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama au Serikali ya Mtaa anasema, \u201cTaarifa hii niliipeleka kwa wazazi wa pande zote. Kwa upande wa kwangu na upande wa kwake na wasimamizi wa ndoa. Huko ndiko nilikopeleka. Niliona mambo mengine ya kwenda polisi pengine ni kama udhalilishaji.\u201d<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Marko anasema analo ombi kuwa, kama kuna sheria yoyote au mamlaka yoyote au chombo chochote kinachoweza kurekebisha<span>\u00a0 <\/span>mwenendo wa mambo katika ndoa yake, kichukue hatua.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Anasema chombo hicho kichukue jukumu la kumlazimisha mkewe kufuata sheria za ndoa ambazo aliapa kuzifuata lakini vile vile sheria za utumishi wa umma nazo kama zina nafasi ya kuokoa ndoa za wafanyakazi wake na kusaidia watoto kupata haki ya malezi ya mama nazo zichukue mkondo wake.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKwa haya yanayonikuta, haya magumu wanayopitia watoto wangu, watu wataogopa kuoa watumishi wa umma kwa sababu watajua wakishawapeleka watumishi wa umma nyumbani wanakuwaga hivi na hivi na hivi.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cHivyo serikali labda kwa upande wake, kama inaweza ifanyie kazi mateso yangu haya na wanangu. Lakini kwa mamlaka zinazohusika na sheria nazo zifanyie kazi jambo hili ili walau liwe fundisho kwa watu wengine.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cMke wangu Pamela anafanya kazi Ocean Road, kwenye Taasisi ya Chakula na Lishe. Sasa nimuombe bosi wake, namjua, anayajua mateso yangu ndani ya ndoa kwa sababu nilishayafikisha kwake, anayajua mateso ya watoto malaika hawa. Na yeye ni mwanamke, ana mume na watoto naamini hivyo, asaidie hasa hawa watoto.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cMaana hawa watoto wanateseka sana. Pamela ni mwanamke mwenzie, ni kiongozi wake, anaweza kumkalisha chini akamuasa arejee kwenye maadili mema, akae nyumbani alee watoto kwa sababu wanamuhitaji sana na wanaumia sana anapokuwa hayupo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cLakini pia huyu bwana anayemchukua mke wangu. Yeye ni mwanamume kama mimi na anajua kuwa anayemlaza nje na kumzurulisha huko usiku kucha ni mke wa mtu na ana watoto wadogo wanaohitaji malezi ya mama yao. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cNamuomba kwanza awaonee huruma watoto hawa, ni malaika, naamini yeye alilelewa vizuri na wazazi wake wote wawili, baba na mama ndiyo maana kapata kazi hadi kumrubuni mke wangu ambaye sasa pesa zake haleti nyumbani kusaidia watoto wetu anazipeeka kwake kustarehe. Hawa watoto wanapata shida sana anapokuwa anamchukua mama yao na kumlaza nje huko anamrudisha asubuhi anapishana nao wanakwenda shule na wakati mwingine anamchukua kabisa siku nyingi tu hamrudishi.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cLakini pia na mimi hanitendei haki kabisa, anaiua ndoa yangu. Wakubwa zake kazini kama bado ni kijana mdogo nawaomba wakae naye wamwambie hiki anachokifanya siyo kitu kizuri kwa sababu kunaweza kuhatarisha maisha ya mtu.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cLakini kingine, kuna dada yake ndiye anayemchochea. Kuna dada yake ambaye anafanya kazi taasisi ya (anaitaja jina). Anaitwa (anaitaja jina).<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cHuyu dada yake anajua kabisa hapa kuna watoto ambao wanahitaji malezi ya mama yao lakini ndiyo anamchochea waende kuzurura. <span>\u00a0<\/span>Yaani huyo ndiye kiongozi wake katika haya mambo yasiyofaa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cAnajua kabisa kuwa hii dunia imeharibika na wao hawana ndugu wa damu hapa isipokuwa hawa ndugu wa hiari tu kwa sababu ni watu kutoka nje, wapo wawili tu huyu mke wangu na huyo dada yake na siyo raia wa hapa. Sasa likitokea la kutoka huko anakokwenda Pamela usiku mimi nitafanya nini jamani. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKiukweli naomba msaada ili kunusuru ndoa yangu na maisha ya watoto wangu yasije yakatokea maafa,\u201d anasema.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/e4a08-pamela.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"400\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/e4a08-pamela.jpg?resize=180%2C400&#038;ssl=1\" width=\"180\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Pamela Kayira<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA Blog ilimtafuta Pamela na kumuuliza kuhusu malalamiko na tuhuma anazoelekezewa na mumewe wake. Naye kwa maneno yake mwenyewe anasema.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cHivi mnanifuata fuata kwa nini nyie watu. Nawapeleka polisi nawaambia. Mtaoza huko. Achaneni na huyo mpuuzi na huo upuuzi wake.\u201d<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA Blog ilimsihi Pamela atulie kwanza kwa sababu tuhuma na malalamiko dhidi yake hayana afya katika ndoa yake na kwa malezi ya watoto wake na kama kuna tatizo kwenye ndoa yake ayaeleze kwa sababu anaweza kupata msaada yakifahamika na pia anao uhuru na haki kwenda polisi au mahakamani iwapo ataona hajatendewa haki kwenye mahojiano yake na Tanzania PANORAMA Blog. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Akijibu, alisema. \u201cUpuuzi mtupu, mimi siyo mtumishi wa Taasisi ya Chakula na Lishe aliyowaambia na wala siijui na sifundishwi na mtu maisha. Ole wenu nisikie habari zangu hata punje kwenye hiyo media yenu nawaambia, wote mnaozea jela dakika moja. Achaneni na mimi,\u201d alijibu Pamela kisha akakata simu.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/3e54b-leyna.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"400\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/3e54b-leyna.jpg?resize=400%2C400&#038;ssl=1\" width=\"400\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Dk. Germana Henry Leyna<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Chakula na Lishe, Dk. Germana Henry Leyna naye alitafutwa na kuulizwa kama Pamela ni mtumishi wa taasisi anayoingoza na iwapo, kwa nafasi yake kama kiongozi wa taasisi ya umma na mama anaweza kusaidia kuinusuru ndoa ya Pamela na pia watoto kupata malezi wanayostahili kutoka kwa mama yao alisema yeye hahusiki na mambo binafsi ya watu na wala hawezi kuthibitisha au kukataa kama Pamela ni mfanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA Blog ilimweleza Dk. Leyna kuwa ingawa masuala ya ndoa yanaweza kuchukuliwa kuwa ya binafsi lakini hama<span>\u00a0 <\/span>sababu ya kuficha siri iwapo Pamela ni mtumishi wa katika taasisi ya Chakula na Lishe kwa sababu suala la malezi ya watoto lina uzito wa kipekee katika jamii na yeye kama kiongozi wa umma na pia mama anao wajibu wa kusaidia walau kwa kutoa ushauri, alisisitiza kuwa hayo ni mambo binafsi ambayo hawezi kuyaingilia hivyo anapaswa kuficha siri.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span><span style=\"font-size:large;\">ITAENDELEA.<\/span><span><span style=\"font-size:large;\">\u00a0<\/span>\u00a0\u00a0 <\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\">\u00a0<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u00a0 Laizer Marko na mkewe Pamela Kayira siku ya ndoa yao \u00a0 *Ni Laizer Marko anayehofia usalama wa maisha yake ndani ya ndoa, bosi Mamlaka ya Chakula na Lishe aficha siri *Aomba huruma ya mkware anayevuruga familia yake, azungumzia uraia wa mkewe na shemeji yake RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 SAKATA la wivu na [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-535","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/535","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=535"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/535\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=535"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=535"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=535"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=535"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}