{"id":504,"date":"2021-10-14T10:56:00","date_gmt":"2021-10-14T10:56:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/10\/14\/ukaidi-wa-mturuki-mlanguzi-umeme-wa-tanesco-wafikishwa-kwa-ddp\/"},"modified":"2021-10-14T10:56:00","modified_gmt":"2021-10-14T10:56:00","slug":"ukaidi-wa-mturuki-mlanguzi-umeme-wa-tanesco-wafikishwa-kwa-ddp","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=504","title":{"rendered":"UKAIDI WA MTURUKI MLANGUZI UMEME WA TANESCO WAFIKISHWA KWA DDP"},"content":{"rendered":"<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/babashadya6.files.wordpress.com\/2021\/10\/cd255-2.jpg\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"201\" src=\"https:\/\/babashadya6.files.wordpress.com\/2021\/10\/cd255-2.jpg?w=300&#038;resize=400%2C201\" width=\"400\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>\u00a0<!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                       MicrosoftInternetExplorer4                                     &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:10.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:115%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin; \tmso-bidi-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-bidi-theme-font:minor-bidi;} &lt;![endif]--> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>RIPOTA PANORAMA<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>0711 46 49 84<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>MAMLAKA<span>\u00a0 <\/span>ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewasilisha kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) tuhuma za kufanya biashara ya umeme kinyume cha sheria na kuuuza kwa bei ya juu zinazomkabili mfanyabishara Ugur Gurses <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Hayo yamesemwa jana na Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo alipokuwa akizungumzia hatua zilizochukuliwa na mamlaka hiyo dhidi ya Gurses ambaye anadaiwa kukiuka sheria za nchi na kukaidi maelekezo ya EWURA.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Gurses, raia wa Uturuki ambaye ni mmiliki Kampuni ya Adamas Group yenye ofisi zake Karioakoo, Dar es Salaam inayojihusisha na biashara ya nyumba anadaiwa kufanya biashara ya kuuza umeme wa Tanesco kwa bei ya ulanguzi tangu mwaka 2016.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Walalamikaji, Haykal Hassan na Salem Balleith, wanadai kuwa Gurses ambaye ni mmoja wa wamiliki wa jengo lenye ghorofa 13 lililopo mtaa wa Livingstone, aliwauzia ghorofa moja kila mmoja katika jengo hilo lakini amewazui kimabavu kutumia umeme unaosambazwa na Tanesco na badala yake anawauzia umeme kwa kutumia mita za Bahdela kwa bei la juu .<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwamba Gurses anauza unit moja ya umeme kutoka kwenye mita za Bahdela kwa shilingi 650 na mkazi anayekataa kununua kwa bei hiyo humkatia umeme. Pia wanamlalamikia kuwatoza Dola za Marekani 100 kama kodi ya huduma kila mwezi wakati hakuna huduma anayotoa iliyolingana na kiasi hicho na kwamba jenerata lililopo kwenye jengo limeharibika kwa zaidi ya miaka mitano sasa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA inaripoti kwa uhakika kuwa Gurses ambaye alifikiwa na EWURA na kutakiwa kuacha kulangua umeme kwa sababu kitendo hicho ni kukiuka sheria, alikataa maelekezo hayo na inadaiwa kuwa sasa anajigamba kuwa EWURA ameikamata mkononi ndiyo maana aliwafukuza maafisa wadogo wa mamlaka hiyo waliokwenda kumtaka aache ulanguzi wa umeme na amekuwa akienda mbali zaidi kwa kudai kuwa yeye ni mwekezaji na \u2018mama\u2019 amekwishaagiza wawekezaji wasiguswe kwa lolote kwa sababu anawahitaji sana.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Akizungumzia tuhuma hizo, Kaguo alisema Gurses ana makosa mawili, la kwanza ni kuuza umeme bila kuwa na leseni ya EWURA na kosa la pili ni kuuza umeme kwa bei ya juu.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/babashadya6.files.wordpress.com\/2021\/10\/4f889-1.jpg\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"400\" src=\"https:\/\/babashadya6.files.wordpress.com\/2021\/10\/4f889-1.jpg?w=225&#038;resize=300%2C400\" width=\"300\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Jengo la Ugur Gurses ambalo wakazi wake wanalanguliwa umeme <\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Alisema EWURA baada ya kubaini makosa hayo kwa Gurses ilimpelekea karipio la kisheria lakini alikataa kulipokea hivyo imelifikisha shauri hilo kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali ambaye ana nguvu za kisheria na pia ana vyombo vya dola kwa ajili ya kuchukua hatua za kisheria.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cHuyu mtu ana makosa yafuatayo, 1) kuuza umeme wakati hana leseni ya EWURA, 2) kuuza umeme kwa bei ya juu. Tulimpelekea \u2018complaince order\u2019 karipio la kisheria na alikataa kupokea. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKatika hali kama hii, sheria inatutaka tumpelekee DPP ambaye ana vyombo vya dola kama polisi ili ampeleke mahakamani. DPP analifanyia kazi na tumeishakaa na DPP juu ya hili shauri.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cTunasubiri hatua za DPP. DPP ana taratibu zake na anaweza kufanya uchunguzi kabla ya kuchukua hatua. Sasa fuatilia kwa DPP \u2018unless\u2019 DPP aamue kuwa hana nia \u2018but\u2019 itakuwa fundisho,\u201d alisema Kaguo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Hata hivyo, mlalamikaji Haykal Hassan Alwan anasema kuwa malalamiko yao ni ya muda mrefu lakini hadi sasa hakuna hatua zilizochukuliwa huku wakizidi kuumia kwa kukamuliwa pesa nyingi na kwamba mgogoro huo sasa unaelekea kwenye hatua mbaya kutokana na vitendo vya kibabe vya Gurses.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Anasema Gurses amemkatia umeme Salem Balleith ambaye amenunua ghorofa moja katika jengo lake hilo baada ya kutaka kuanza kununua umeme wa Tanesco na kukataa kutumia mita za Bahdela pamoja na kupinga kutozwa Dola za Marekani 100 kila mwezi kama kodi ya huduma wakati hakuna haduma inayotolewa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Balleith mwenyewe ambaye alizungumza na Tanzania PANORAMA akiwa nje ya nchi alithibitisha kukatiwa umeme na kwamba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa sehemu aliyonunua imekaa kama gofu kwa sababu hawezi kuishi yeye mwenyewe wala kuipangisha kutokana na kutokuwa na umeme.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Uchunguzi wa nyaraka za mgogoro huo umeonyesha kuwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa EWURA imekuwa ikihangaika kuutatua pasipo mafanikio.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Moja ya nyaraka ambazo Tanzania PANORAMA imeziona ikiwa imesainiwa na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa EWURA, Mhandisi Nyirabu Musira ya Septemba 2, 2020 na yenye kumbukumbu namba SN. 71\/135\/95\/2 ikiwa na kichwa cha habari, malalamiko dhidi ya Ugur Gurses na Tanesco inasomeka;<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u2018Rejea kichwa cha habari hapo juu na malalamiko yako ya terehe 31, Agosti 2020. Mamlaka inakiri kupokea malalamiko yako ya tarehe 31, Agosti 2020<span>\u00a0 <\/span>na ya kwamba tunayafanyia kazi. Tutakupatia taarifa katika kila hatua inayofuata katika shauri lako.\u2019<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Nyaraka nyingine ambayo ni fomu ya malalamiko iliyotolewa na EWURA iliyojazwa na Haykal Hassan na kupokelewa na kugongwa muhuri katika Ofisi ya Kanda ya Mashariki Machi 2, 2020, mlalamikaji ameandika.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u2018Tuna majonzi tele kwa ufanyaji kazi wa EWURA katika kutekelezsa kero yetu. Tulilalamika kuhusu kuuziwa umeme kwa unit 650 shilingi.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u2018Tuna miaka kama mitano tunalipa umeme kwa kwa bei ya unit kwa 650 na sasa tumepunguziwa kwa unit moja kwa kwa bei ya shilingi 500 ambayo bado ni kubwa. Kila tukifuatilia kwa EWURA tukufu hatusaidiwi sijui tatizo liko wapi kwani ni tatizo rahisi ambalo EWURA wanaweza kulimaliza haraka na sisi kupata haki sawa kwani sisi ni watanzania.\u2019<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwa mujibu wa EWURA, iliruhusu watu wenye nyumba kubwa zilizopangishwa watu wengi kutumia mita ndogo (sub meters) na mita kubwa ya Tanesco inawekwa mahali unapoingilia umeme.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cEWURA iliruhusu watu wa majumba makubwa ambao wamepanga wengi kutumia sub meters kwa maana kwamba mita ya Tanesco inawekwa pale unapoingilia umeme ambao kimsingi mara nyingi unakuwa umenunuliwa in bulk (kwa jumla).<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cLakini gharama ya umeme haitakiwi kuzidi shilingi 292 kwa unit kwa T1 ambao unatumika majumbani. \u2018Therefore, Bahdela anatakiwa kutoza sh 292 kwa unit ambayo ilipitishwa na EWURA kwa matumizi ya majumbani. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKama sivyo watu wanatakiwa kuleta malalamiko katika ofisi zetu za Kanda ya Mashariki. Kijitonyama PSSSF ghorofa ya saba,\u2019 alisema Kaguo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwa upande wao Bagdela ambao wametoa kauli kuhusiana na mgogoro huo ambao wanahusishwa kwa mita zao kuuza umeme kwa bei kubwa wamefanya mahojiano na Tanzania PANORAMA blog ambayo yatariporiwa kesho.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Jitihaza za kumtafuta DPP kuzungumzia kadhia hii hazikuzaa matunda lakini Tanzania PANORAMA Blog inaendelea kumtafuta na aidha, Waziri wa Nishati, Januari Makamba na Waziri wa Uwekezaji, Kitila Mkumbo ambao wizara zao zinasimamia sekta za nishati na uwekezaji nao hawakuweza kupatikana mara moja kuzungumzia suala hili.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span><span>\u00a0<\/span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span><span>\u00a0<\/span><span>\u00a0 <\/span><span>\u00a0\u00a0\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span><span>\u00a0 <\/span><span>\u00a0\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo \u00a0 RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MAMLAKA\u00a0 ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewasilisha kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) tuhuma za kufanya biashara ya umeme kinyume cha sheria na kuuuza kwa bei ya juu zinazomkabili mfanyabishara Ugur Gurses Hayo yamesemwa jana na Meneja [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[34],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-504","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized","7":"tag-habari"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/504","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=504"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/504\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=504"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=504"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=504"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=504"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}