{"id":453,"date":"2021-11-13T12:57:00","date_gmt":"2021-11-13T12:57:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/11\/13\/k-vant-feki-zanaswa-dar-kachero-wa-polisi-kilwa-road-asweka-ndani-mwandishi\/"},"modified":"2021-11-13T12:57:00","modified_gmt":"2021-11-13T12:57:00","slug":"k-vant-feki-zanaswa-dar-kachero-wa-polisi-kilwa-road-asweka-ndani-mwandishi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=453","title":{"rendered":"K &#8211; VANT FEKI ZANASWA DAR, KACHERO WA POLISI KILWA ROAD ASWEKA NDANI MWANDISHI"},"content":{"rendered":"<p>\u00a0<!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                       MicrosoftInternetExplorer4                                     &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:10.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:115%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin; \tmso-bidi-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-bidi-theme-font:minor-bidi;} &lt;![endif]--> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span>\u00a0<\/span><\/p>\n<div class=\"separator\" style=\"clear:both;text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/db9e5-k2bvant.jpeg?ssl=1\" style=\"margin-left:1em;margin-right:1em;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"640\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/db9e5-k2bvant.jpeg?resize=428%2C640&#038;ssl=1\" width=\"428\" \/><\/a><\/div>\n<p><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"><span>RIPOTA PANORAMA<\/span> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>0711 46 49 84<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>WATU sita wanaotuhumiwa kujihusisha na utengenezaji na uuzaji wa pombe kali aina ya K Vant wamekamatwa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Imeelezwa kuwa watuhumiwa hao walikamatwa katika oparesheni maalumu iliyofanywa na makachero wa polisi baada ya kuombwa na menejimenti ya Kampuni ya Mega Beverages ambayo maofisa wake wameshindwa kuthibiti vitendo vya hujuma dhidi ya kampuni.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Taarifa za uhakika zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka vyanzo vya kuaminika vilivyo ndani ya Kampuni ya Mega Beverages ambayo ni watengenezaji wa kinywaji hicho zimedai kuwa watuhumiwa hao hutengeneza kinywaji hicho kienyeji kwa sababu hawana utaalamu na vifaa vya kutosha hivyo pombe wanayoitengeneza si salama kwa wanywaji.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Inadaiwa kuwa, menejimenti ya Kampuni ya Mega Beverages yenye makao makuu yake jijini Arusha iliwasilisha kwa makachero wa polisi ambao haijafahamika vituo vyao vya kazi ombi la kuwasaka wahalifu hao kwa ahadi ya kuwapatia donge nono.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwamba makachero hao wakishirikiana na msiri mkuu wa mmiliki wa kiwanda hicho (jina lake kapuni) walifanikiwa kuwanasa watuhumiwa wakiwa na K Vant feki na baada ya kuhojiwa walimtaja mmoja wa maofisa wa juu wa kampuni hiyo kuwa ndiye kinara wa uhalifu huo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKampuni imekuwa ikihujumiwa kwa muda mrefu sana na baadhi ya wateja wamekuwa wakiilalamika pombe hii kuwasababishia matatizo ya kiafya. Uchunguzi uliofanywa na kampuni ulibaini kuwa kuna K Vant zinazotengenezwa kienyeji ambazo ndizo zinawasababishia wanywaji matatizo ya kiafya.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cKazi ya kuwasaka watu wanaohujumu kampuni alipewa bosi (anamtaja jina) lakini kwa muda mrefu amekuwa akifanya uchunguzi pasipo kufanikiwa kumnasa hata mtu mmoja anayejihusisha na vitendo hivyo. Mwishowe bosi akashtuka akaamua kumpa hiyo kazi msiri wake.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cMsiri wa bosi akawafuata polisi akawaomba wasaidie kuwasaka wahalifu hao na kwamba atawapa zawadi wakifanikiwa kuwanasa wakiwa na vidhibiti, ndiyo polisi wakaingia kazini, muda mfupi tu wakawanasa na pombe zao feki.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cAjabu sasa hao jamaa waliokamatwa walipohojiwa wakamtaja bosi anayesimamia ofisi ya Dar es Salaam kuwa ndiye bosi wao katika uhujumu huo. Ngoma ikawa ngumu hapo na mpaka muda huu mwenye kampuni hajaambiwa kuhusu hizi taarifa kwa sababu hayupo yupo Nairobi,\u201d alisema mmoja wa watoa taarifa. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Taarifa zaidi zilieleza kuwa watuhiumiwa hao walifikishwa katika kituo kidogo cha polisi cha Kilwa Road na kufunguliwa jalada lenye nambari KR\/IR\/9140\/2021 ambako walizuiliwa kwa zaidi ya siku tatu kabla ya kudhaminiwa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Hata hivyo, baada ya taarifa za kukamatwa kwa watu hao kuifikia Tanzania PANORAMA ambayo ilianza kufuatilia<span>\u00a0 <\/span>kwa kumtafuta mmoja wa meneja wa kampuni hiyo Mkoa wa Dar es Salaam (jina tunalihifadhi kwa sasa), kachero kiongozi wa kituo kidogo cha polisi cha Kilwa Road, Ntirungika Sembwa aliingilia kati kuzuia waandishi kutekeleza wajibu wao.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Mwandishi wa Tanzania PANORAMA Blog alimpigia simu meneja anayehusishwa na sakata hilo na kumuuliza kuhusu kukamatwa kwa watu hao na pia jina lake kutajwa kuwa kiongozi wa mtandao wa watu waliokamatwa na yeye alihoji ni nani aliyempatia mwandishi taarifa hizo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cBrother kwani wewe nani amekupa taarifa hizo? Kwani umefika hapa polisi wewe? Naomba nambie kama umeongea na polisi yeyote akakupa taarifa hizo kwa sababu mimi ndiye ninayeshughulikia suala hili,\u201d alisema.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Mwandishi alipokataa kutaja chanzo chake cha habari, meneja huyo aliomba kukutana naye kwa maelezo kuwa atakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuzungumza akijua anazungumza na nani badala ya kuongea kwa simu jambo ambalo mwandishi aliliafiki.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Meneja huyo alikutana na ripota wa Tanzania PANORAMA, akiwa ameambatana na kachero kiongozi wa idara ya ukachero wa kituo kidogo cha polisi cha Kilwa Road, Sembwa ambaye alimuweka chini ya ulinzi kabla ya kwenda kumsweka rumande kwa muda wa siku tatu huku akimtaka\u00a0 ataje chanzo chake cha habari.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Richard Ngole alipoulizwsa jana kuhusu kukamatwa kwa watu hao alisema hana taarifa\u00a0 na kuahidi kufuatilia.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA inaendelea kufuatilia sakata hili.<\/span><\/span><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u00a0 \u00a0 RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 WATU sita wanaotuhumiwa kujihusisha na utengenezaji na uuzaji wa pombe kali aina ya K Vant wamekamatwa. Imeelezwa kuwa watuhumiwa hao walikamatwa katika oparesheni maalumu iliyofanywa na makachero wa polisi baada ya kuombwa na menejimenti ya Kampuni ya Mega Beverages ambayo maofisa wake wameshindwa kuthibiti vitendo vya hujuma [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[34],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-453","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized","7":"tag-habari"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/453","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=453"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/453\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=453"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=453"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=453"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=453"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}