{"id":445,"date":"2021-11-16T08:49:00","date_gmt":"2021-11-16T08:49:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/11\/16\/wanasheria-walivyoibana-chemaf-sprl\/"},"modified":"2021-11-16T08:49:00","modified_gmt":"2021-11-16T08:49:00","slug":"wanasheria-walivyoibana-chemaf-sprl","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=445","title":{"rendered":"WANASHERIA WALIVYOIBANA CHEMAF SPRL"},"content":{"rendered":"<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/6d5b5-kibwana.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"640\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/6d5b5-kibwana.jpg?resize=480%2C640&#038;ssl=1\" width=\"480\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Emmanuel Kibwana<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>\u00a0<!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                       MicrosoftInternetExplorer4                                     &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:10.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:115%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin; \tmso-bidi-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-bidi-theme-font:minor-bidi;} &lt;![endif]--> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span><\/span><span style=\"font-size:large;\"><span>RIPOTA PANORAMA<\/span> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>0711 46 49 84<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>KAMPUNI ya Chemaf SPRL ya jijini Dar es Salaam inaweza kushtakiwa mahakamani kwa kukiuka sheria za kazi na kuwaondoa kazani bila kuwalipa stahiki sahihi baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Hilo limebainika baada ya upekuzi wa kina wa nyaraka mbalimbali za malalamiko ya watu wanne wanaodai kuwa walikuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa kipindi kirefu kabla ya kuachishwa kazi huku kampuni hiyo ikiwalipa malipo pungufu ya stahiki zao baada ya kuondolewa kazini.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Wanaolalamika ni Abdulrahaman Ishaq Dawood, Juma Chamonssy, Samuel Thomas Mdee na Emmanuel Somin Kibwana.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na Kampuni ya Uwakili ya Muccadam, Oktoba 2, 2015, yenye kumbukumbu namba KA\/DL\/3\/ 2015, kwenda kwa Kampuni ya Chemaf SPRL inayotumia ofisi na anuani ya posta ya Kampuni ya Tanzania Road Haulage, Kurasini geti namba 5 ya kusudio la kuishataki kampuni hiyo, inaeleza kuwa;<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Walalamikaji ni wateja wake waliokuwa wakishikilia nyadhifa tofauti wakati wa utumishi wao ndani ya kampuni hiyo na kwamba walikuwa wakifanyakazi katika mazingira magumu na hatarishi bila kulipwa malipo ya kufanya kazi saa za ziada ya posho nyinginezo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwamba walalamikaji walikuwa wakifanyakazi kwa zaidi ya saa tisa zilizowekwa kisheria kwa siku na zaidi ya saa 45 kwa wiki.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Barua hiyo inaeleza kuwa Chemaf inapaswa kutambua kuwa mwajiri haruhusiwi kumfanyisha kazi mwajiriwa zaidi ya saa 12 kwa siku jambo ambalo kampuni hiyo ilikuwa ikilifanya na kwamba 2015, mwajiri aliandika barua ya kusitisha mkabata wa kazi kwa kila mlalamikaji akionyeysha kuwa walalamikaji wote walikubaliana na uamuzi huo.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Inaeleza zaidi kuwa mwajiri aliwalipa walalamikaji kiasi kidogo cha stahiki zao huku akiacha kingine hivyo anatakiwa kutambua kuwa walalamikaji wanadai kutoka kwake stahiki zao nyiongine ambazo hakuwalipa.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Barua hiyo inahitimishwa kwamba kwa mujibu wa sheria, makubaliano ya kuondolewa kazini ambayo walalamikaji walifikia na aliyekuwa mwajiri wao hayafuti haki\/stahiki zao baada ya kutekelezwa kwa makubaliano ya kutengua mkataba wa kazi. <span>\u00a0<\/span><span>\u00a0<\/span><\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Haya yamebainika ikiwa ni siku chache baada ya Kibwana, kujitokeza hadharani kueleza jinsi alivyoumia jicho akiwa mfanykazi wa Kampuni ya Chemaf kisha akalaghaiwa na mwajiri wake akaacha kazi kabla ya kutelekezwa bila kulipwa baadhi ya stahiki zake.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kibwana alifanya mahojiano na Tanzania PANORANA Blog jijini Dar es Salaam kuhusu alivyolaghaiwa na waajiri wake baada ya kuumia jicho ambalo sasa limepofuka, kuondolewa kazini na kunyimwa haki zake.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Alisema alikuwa mfanyakazi wa kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka kumi lakini alipoumia jicho, aliitwa na maafisa wa kampuni ya Tanzania Road Haulage (TRH) ambao wanasimamia shughuli nyingi za Chemaf, wakamshawishi akubali kuacha kazi kwa hiari kutokana na hali yake ya ulemavu huku wakiahidi kumlipa stahiki zake zote.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cNinashukuru nimekutana na nyie, sipo vizuri sana lakini naweza kuzungumza kidogo. Nataka mnisaidie kama mnavyosaidia wengine walau nipate haki zangu.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cMimi nimewafanyia kazi hawa Chemaf kwa zaidi ya miaka kumi, nilikuwa dreva na mara nyingi nilikuwa nasafiri nje ya nchi kupeleka mizigo. Hii Chamef ipo ndani ya TRH kwa sababu mambo yao huko kwenye usajili hayajakaa sawa sana sasa nilipoumia wakaja maafisa wa TRH wakanishawishi kuwa kwa sababu nimekuwa mlemavu tena wa jicho bora nipumzike.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cWalianiahidi kuwa nitalipwa haki zangu zote ikiwemo NSSF na fidia ya kuumia kazini, nikaona ni kweli kwa sababu niliumia sana bora nipumzike. Nikaacha kazi lakini hawakunilipa kabisa, nimejiuguza mwenyewe kwa shida ndiyo sasa nipo kama hivi.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cWana mafao yangu zaidi ya miaka kumi kazini hawajanipa, wana mwanasheria wao ndiye wanamtumia kwenye haya mambo. Huyo muulizeni kwanini sisi watanzania wenzake anashiriki kututendea hivi,\u201d alisema Kibwana kabla hajashindwa kueleza zaidi kutokana na jicho lake kutoa maji mengi na kulalamika kuwa anasikia maumivu makali.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Tanzania PANORAMA Blog ilifika ofisi ya TRH, kurasini, Dar es Salaam, mahali zilipo ofisi za Chemaf ili kupata ukweli wa malalamiko haya lakini ilizuiliwa getini.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Mlinzi wa mlangoni aliuliza sababu za kufuatilia suala hilo, aliomba kuonyeshwa picha ya Kibwana kisha akasema ruhusa ya kufanya mahojiano na kiongozi yoyote kuhusu suala hilo ni lazima itoke utawala na baada ya kupiga simu utawala alisema wahusika wote wanaoweza kulizungumzia<span>\u00a0 <\/span>hawapo na hajui watapatikana lini.<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\">\u00a0<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Emmanuel Kibwana \u00a0 RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 KAMPUNI ya Chemaf SPRL ya jijini Dar es Salaam inaweza kushtakiwa mahakamani kwa kukiuka sheria za kazi na kuwaondoa kazani bila kuwalipa stahiki sahihi baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake. Hilo limebainika baada ya upekuzi wa kina wa nyaraka mbalimbali za malalamiko ya watu wanne wanaodai kuwa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[34],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-445","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized","7":"tag-habari"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/445","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=445"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/445\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=445"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=445"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=445"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=445"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}