{"id":432,"date":"2021-11-19T14:54:00","date_gmt":"2021-11-19T14:54:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/11\/19\/serikali-yajivunia-mchango-wa-ofisi-ya-msajili-hazina-ukuaji-kiuchumi\/"},"modified":"2021-11-19T14:54:00","modified_gmt":"2021-11-19T14:54:00","slug":"serikali-yajivunia-mchango-wa-ofisi-ya-msajili-hazina-ukuaji-kiuchumi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=432","title":{"rendered":"SERIKALI YAJIVUNIA MCHANGO WA OFISI YA MSAJILI HAZINA UKUAJI KIUCHUMI"},"content":{"rendered":"<p>\u00a0<\/p>\n<div style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/a9faa-hazina2bpix2b2.jpg?ssl=1\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"394\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/a9faa-hazina2bpix2b2.jpg?resize=640%2C394&#038;ssl=1\" width=\"640\" \/><\/a><\/div>\n<\/p>\n<p><!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                       MicrosoftInternetExplorer4                                     &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><\/p>\n<p><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:10.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:115%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin;} &lt;![endif]--> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\">\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:small;\"><span>Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk Laurean Ndumbaro (katikati) akijumuika na watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo, jana jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), tawi la Ofisi ya Msajili wa Hazina, Sabato Kosuri. Wengine kutoka kushoto ni Pili Mazowea, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Msajili wa Hazina na Waziri Mkumbo, Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina. <b>(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina)<\/b><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                       MicrosoftInternetExplorer4                                     &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:10.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:115%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin;} &lt;![endif]--><\/p>\n<p><!--[if gte mso 9]&gt;    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;   Normal  0          false  false  false    EN-US  X-NONE  X-NONE                                                                          &lt;![endif]--><!--[if gte mso 9]&gt;                                                                                                                                                                                                                                                                                    &lt;![endif]--><!--[if gte mso 10]&gt; \/* Style Definitions *\/  table.MsoNormalTable \t{mso-style-name:\"Table Normal\"; \tmso-tstyle-rowband-size:0; \tmso-tstyle-colband-size:0; \tmso-style-noshow:yes; \tmso-style-priority:99; \tmso-style-qformat:yes; \tmso-style-parent:\"\"; \tmso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; \tmso-para-margin-top:0in; \tmso-para-margin-right:0in; \tmso-para-margin-bottom:8.0pt; \tmso-para-margin-left:0in; \tline-height:107%; \tmso-pagination:widow-orphan; \tfont-size:11.0pt; \tfont-family:\"Calibri\",\"sans-serif\"; \tmso-ascii-font-family:Calibri; \tmso-ascii-theme-font:minor-latin; \tmso-fareast-font-family:\"Times New Roman\"; \tmso-fareast-theme-font:minor-fareast; \tmso-hansi-font-family:Calibri; \tmso-hansi-theme-font:minor-latin;} &lt;![endif]--><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><b><span><\/span><\/b><b><span>NA MWANDISHI WETU<\/span><\/b><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>SERIKALI imesema itaendelea kusaidia utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina bila kuchoka, kwa kuwa ofisi hiyo ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi.<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Aidha, imeipongeza ofisi hiyo kwa kazi nzuri ya usimamizi wa Taasisi na Mashirika ya Umma, maeneo ambayo Serikali imefanya uwekezaji mkubwa ili hatimaye uweze kuleta tija na kuendelea kutoa mchango wa ukuaji kiuchumi na kustawisha maendeleo ya nchi.<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk Laurean Ndumbaro wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Mwaka 2021\/2022, jijini Dar es Salaam.<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Akizungumza baada ya kukaribishwa na Mwenyekiti wa Mkutano huo, Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto, Dk Ndumbaro alisema; \u201cNi ukweli usiopingika kuwa kutokana na majukumu makubwa ya kusimamia takribani Mashirika na Taasisi za Umma 237, Kampuni 50 ambako Serikali imewekeza mtaji wake kwa utaratibu wa hisa pamoja na kusimamia jumla ya Mashirika ya Umma, Viwanda na Mashamba 341 yaliyobinafsishwa, Ofisi ya Msajili wa Hazina ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi yetu.\u201d<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Aliongeza kuwa, watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wanapaswa kuzingatia kuwa nchi inawategemea katika ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi, kupunguza matumizi na kuimarisha utawala bora kupitia usimamizi madhubuti wa Mashirika na Taasisi za Umma, hivyo ili kufikia malengo hayo, wanapaswa kutimiza wajibu wao kikamilifu.<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><span>\u201cKila mtumishi katika Ofisi ya Msajili wa Hazina anapaswa kutambua wajibu wake kwa Taifa na kujitambua kuwa ana umuhimu katika kuwezesha Taifa kufikia malengo yake. <\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cEndeleeni kufanya kazi kwa bidii, uadilifu, weledi na uzalendo mkubwa katika kusimamia rasilimali za umma mlizopewa dhamana ya kuzitunza na kusimamia ili zilete tija na kuongeza mapato yasiyo ya kodi kuchangia Mfuko Mkuu wa Serikali kuwa na uwezo wa kuboresha huduma kwa wananchi na maslahi ya Watumishi wote,\u201d alisema.<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Awali, akimkaribisha Dk Ndumbaro, Msajili wa Hazina alimshukuru yeye binafsi kwa ku<\/span><span>kubali mwaliko na kushiriki kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina, lakini pia ameishukuru Serikali<\/span><span> kwa kuendelea kuiamini ofisi yake katika usimamizi wa Mashirika na Taasisi za Umma.\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kipekee, Mgonya ame<\/span><span>mshukuru Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kumteua kuwa Msajili wa Hazina ili kuendeleza jukumu la usimamizi wa rasilimali za nchi zinazotokana na Uwekezaji wa Serikali.\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201cAhadi yangu kwa Mheshimiwa Rais Samia ni kwamba; kwa kushirikiana na watumishi wenzangu na tukimshirikisha Mungu, tutatekeleza kwa ukamilifu jukumu tulilopewa kwa uaminifu mkubwa. Tumejipanga vyema kuhakikisha kazi ya usimamizi wa Mashirika ya Umma inaleta tija na kwamba kwa dhamana hii tuliyokabidhwa tutaisimamia kikamilifu na kwa weledi,\u201d alisema Mgonya.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Katika mkutano huo, Msajili wa Hazina aliwasilisha mambo mbalimbali ambayo ofisi imeyatekeleza katika kuimarisha usimamizi wa mashirika ya umma, lakini pia aliwasilisha mikakati iliyopo katika kuimarisha usimamizi kwenye Mashirika na Taasisi za Umma ili mchango wa uwekezaji wa Serikali uweze kuleta tija kwa maendeleo ya nchi.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Alisema ufanisi wa usimamizi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina umejidhihirisha katika maeneo mengi, akitolea mfano ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi kuwa, katika kipindi cha miaka minne cha kuanzia mwaka 2016\/17 hadi 2020\/21 mapato<span>\u00a0 <\/span>yameongezeka kutoka Sh. Bilioni 161.03 mwaka 2016\/17 hadi Sh. Bilioni 637.67 mwaka 2020\/21. <\/span><\/span> <\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Kwa mujibu wa Mgonya, mapato haya ni yale tu yanayopitia akaunti za Ofisi ya Msajili wa Hazina na kwamba endapo yangejumuisha na yale yanayokwenda moja kwa moja kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali, yangepaa zaidi akitolea mfano kabla ya janga la UVIKO-19, mapato yalifikia Sh Trilioni 1.052 mwaka 2018\/19. <\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-size:large;\"> <\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>Alisema utekelezaji wa masuala mbalimbali na mikakati iliyopo inakwenda sambamba na kaulimbiu ya mkutano huo; \u201cUsimamizi Bora wa Mashirika ya Umma unachangia Kuimarisha Uchumi wa Nchi; Maslahi ya Watumishi yaboreshwe.\u201d<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span>\u00a0<\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;margin-left:0.5in;margin-right:0;margin-top:0;margin:0 0 0 0.5in;text-align:justify;\"><span>\u00a0<\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:150%;margin-bottom:0;\"><span>\u00a0<\/span><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u00a0 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk Laurean Ndumbaro (katikati) akijumuika na watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo, jana jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[34],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-432","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized","7":"tag-habari"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/432","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=432"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/432\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=432"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=432"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=432"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=432"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}