{"id":2065,"date":"2021-10-02T08:06:00","date_gmt":"2021-10-02T08:06:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/10\/02\/jinsi-mfanyabiashara-kibombe-alivyotapeliwa-mabilioni-na-mganga-wa-kienyeji\/"},"modified":"2021-10-02T08:06:00","modified_gmt":"2021-10-02T08:06:00","slug":"jinsi-mfanyabiashara-kibombe-alivyotapeliwa-mabilioni-na-mganga-wa-kienyeji","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=2065","title":{"rendered":"JINSI MFANYABIASHARA KIBOMBE ALIVYOTAPELIWA MABILIONI NA MGANGA WA KIENYEJI"},"content":{"rendered":"<p>\u00a0<\/p>\n<div class=\"separator\" style=\"clear:both;text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/bed58-mchawi.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:1em;margin-right:1em;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"266\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/bed58-mchawi.jpg?resize=400%2C266&#038;ssl=1\" width=\"400\" \/><\/a><\/div>\n<p><\/p>\n<div dir=\"auto\">\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">RIPOTA WA PANORAMA\u00a0<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">0711 46 49 84 <br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">MFANYABIASHARA  Remoy Kibombe amepoteza mali zake na pesa zaidi ya shilingi bilioni  moja baada ya kuhadaiwa na mganga wa kienyeji anayefahamika kwa jina la  Salim Kanyani kuwa atapata utajiri wa ghafla kwa msaada wa majini.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Ripoti  ya uchunguzi uliofanywa na Tanzania PANORAMA Blog kuhusu tukio la  kufilisika kwa mfanyabiashara huyo anayejihusisha na biashara ya vyuma  chakavu Jijini Mwanza, sambamba na kutajirika haraka haraka kwa mganga  wa kienyeji Kanyani, imeonyesha kuwa wawili hao walifahamiana baada ya  kukutanishwa na aliyekuwa dalali maarufu katika jiji hilo, marehemu\u00a0  Hashim Shimweta<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Kwa mujibu  wa uchunguzi, marehenu dalali Shimweta alikuwa akifahamiana na  mfanyabiasha Kibombe na alimtambulisha kwa mganga wa kienyeji Kanyani  kwa ajili ya kumpatia tiba ya matatizo yake ya kiafya.\u00a0<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Hata  hivyo, uchunguzi umeibaini kuwa merehemu dalali Shimweta alifariki  dunia mwaka jana baada ya kupondwa na mawe yaliyokuwa yakimwagwa na roli  eneo la Nyamanoro jijini Mwanza.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Watu  wa karibu na mfanyabiashara Kibombe wameieleza Tanzania PANORAMA Blog  kuwa, Kibombe akiwa katika matibabu ya afya yake, mganga Kanyani  alimwambia anayo majini ambayo yamemwambia mteja wake huyo ana nyota ya  biashara na ana mali na ukwasi mwingi lakini mali na ukwasi alionao  havitulii kwake kwa sababu havijaoshwa na kwamba yupo hatarini kupoteza  utajiri wake huo asipochukua hatua za kuulinda kwa kusafisha nyota yake  na kuosha fedha zake kwa kutumia nguvu za giza.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Imeelezwa  kuwa mganga wa kienyeji Kanyani alimwambia mteja wake kuwa\u00a0 majini yake  yana uwezo wa kusafisha nyota za kibiashara, kusafisha fedha na  kuziongeza kwa kiasi chochote mtu atakacho iwapo atatimiza masharti  atakayopewa na majini hayo.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Taarifa  zimeeleza kuwa mganga Kanyani alimtaka mteja wake Kibombe, ampatie  kiasi kidogo cha Dola za Marekani ili ayape majini yake yaweze kuziosha  na kuzizalisha, jambo ambalo alilitimiza na baada ya mganga huyo  kuzungumza na majini yake kama alivyodai alirudi kwa mfanyabiashara  Kibombe akiwa na mabosi sita makubwa yaliyokuwa yamejaa Dola za  Marekani.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><\/p>\n<div class=\"separator\" style=\"clear:both;text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/b81ec-dolla.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:1em;margin-right:1em;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"266\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/b81ec-dolla.jpg?resize=400%2C266&#038;ssl=1\" width=\"400\" \/><\/a><\/div>\n<p>\u00a0<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Watu wa karibu  na mganga Kanyani wameeleza kuwa Dola za Marekani\u00a0 alizoonyeshwa  mfanyabiasha Kibombe hazikuwa halisi na hakupewa muda wa kuzishika bali  alifunguliwa tu maboksi hayo na kuonyeshwa zikiwa zimepangwa kwa ustadi  kisha akaambiwa zinarudishwa kwa majini hayo na iwapo anataka kuzichukua  anapaswa kwanza kutekeleza matakwa ya majini hayo.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Imeelezwa  zaidi kuwa mganga Kanyani baada ya kuzirudisha Dola za Marekani kwa  majini alirudi kwa Kibombe na kumwambia majini yametoa masharti kuwa  kila boksi moja lililojaa Dola za Marekani alizoonyeshwa linapaswa  kulipiwa Dola za Marekani\u00a0 za kibinadamu 150,000 (laki moja na nusu) kama  tambiko kwa majini ili yaweze kuziachia Dola za Marekani za majini  zilizojaa kwenye maboksi sita ziwe zake na kwamba zitakuwa zikiongezeka  haraka haraka kwa kadri atakavyokuwa akizifanyia biashara.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Kwa  mujibu wa masharti aliyopewa Kibombe, alipaswa kutoa Dola za Marekani  900,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.4\u00a0 za Tanzania, pesa  ambazo hakuwa nazo katika akaunti zake za benki.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Taarifa  zilizokusanywa na Tanzania PANORAMA Blog zimeonyesha zaidi kuwa  Kibombe alizitamani Dola Marekani alizokuwa ameonyeshwa na mganga  Kanyani na alimtaka ampe muda ili akusanye kiasi cha fedha kilichokuwa  kinatakiwa na majini kama sharti la kumpatia maboksi sita yaliyojaa Dola  za Marekani..<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Uchunguzi  wa namna Kibombe alivyoanza kutafuta fedha za kulipia masharti ya majini  umeoyesha kuwa alianza kuuza mali zake ambazo ni pamoja na magari  matano ya kihafari, moja likiwa la mke wake, nyumba, viwanja na ghala  lake la kuhifadhia vyuma chakavu.\u00a0<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Imeelezwa  zaidi kuwa Kibombe aliwasilisha mkupuo wa kwanza wa malipo ya fedha za  kibinadamu kwa majini kupitia kwa mganga Kanyani, shilingi milioni 600.<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">Hata  hivyo mganga Kanyani alimtaka Kibombe akasajili laini ya sinu kwa jina  lake amletee ili awe anamtumia fedha kupitia kwenye laini hiyo hadi  atakapokamilisha malipo yote. Sharti ambalo alilitekeleza.\u00a0<\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\"><br \/><\/span><\/div>\n<div dir=\"auto\"><span style=\"font-size:medium;\">INAENDELEA KESHO<\/span>.<\/div>\n<\/div>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u00a0 RIPOTA WA PANORAMA\u00a0 0711 46 49 84 MFANYABIASHARA Remoy Kibombe amepoteza mali zake na pesa zaidi ya shilingi bilioni moja baada ya kuhadaiwa na mganga wa kienyeji anayefahamika kwa jina la Salim Kanyani kuwa atapata utajiri wa ghafla kwa msaada wa majini. Ripoti ya uchunguzi uliofanywa na Tanzania PANORAMA Blog kuhusu tukio la kufilisika [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-2065","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2065","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2065"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2065\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2065"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2065"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2065"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=2065"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}