{"id":1106,"date":"2021-01-09T13:40:00","date_gmt":"2021-01-09T13:40:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/01\/09\/jeshi-la-polisi-lasubiri-uchunguzi-wa-simu-tuhuma-za-unyanyasaji-wa-kingoni-ssb\/"},"modified":"2021-01-09T13:40:00","modified_gmt":"2021-01-09T13:40:00","slug":"jeshi-la-polisi-lasubiri-uchunguzi-wa-simu-tuhuma-za-unyanyasaji-wa-kingoni-ssb","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=1106","title":{"rendered":"JESHI LA POLISI LASUBIRI UCHUNGUZI WA SIMU TUHUMA ZA UNYANYASAJI WA KINGONI SSB"},"content":{"rendered":"<\/p>\n<div class=\"separator\" style=\"clear:both;text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/021c7-30.png?ssl=1\" style=\"margin-left:1em;margin-right:1em;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"300\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/021c7-30.png?resize=400%2C300&#038;ssl=1\" width=\"400\" \/><\/a><\/div>\n<p>\u00a0<\/p>\n<p><span style=\"font-family:Garamond, serif;font-size:x-large;\">NA CHARLES MULLINDA<\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">JESHI la Polisi linasubiri uchunguzi wa kitaalamu wa simu za mkononi<br \/>za Idi Mzee na mpenzi wake wa kike (jina limehifadhiwa) anayemtuhumu kumnyanyasa kingoni pamoja na kumfanyisha tendo la ndoa na mbwa.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Kamanda wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa Mkoa wa Kipolisi wa<br \/>Temeke, Jumanne Mkwama ameiambia Tanzania PANORAMA Blog kuwa uchunguzi huo<br \/>utakapokamilika ndipo\u00a0 hatua nyingine zitafuata.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Kamanda Mkwama amesema kinachochunguzwa na polisi ni nani kati ya<br \/>wawili hao aliyevunja mkataba wa kuvunja uhusiano wa kimapenzi ambao<br \/>ulisainiwa baada ya kutoelewana kwao.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Alisema mambo mengine yanayolalamikiwa na mwanamke huyo dhidi ya Idi, ikiwemo kumfanyisha tendo la ndoa na mbwa pamoja na kukiuka makubaliano ya kumlipa kila anapofanya tendo la ndoa na mwanaume huku yeye akiangalia kabla ya kushiriki naye tendo hilo yatashughulikiwa na mahakama.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">\u201cTunasubiri uchunguzi wa kitaalamu katika simu zao. Simu zao tumezipeleka kwa wataalamu, tunataka kujua ni nani kati yao aliyevunja mkataba walioingia kwa maandishi wa kuachana. Hayo mengine watajuana wenyewe mahakamani,\u201d aliema Kamanda Mkwama.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Idi Mzee ambaye ni dereva wa Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB)<br \/>amefunguliwa jalada la uchunguzi katika Kituo cha Polisi Chang\u2019ombe<br \/>Jijini Dar es Salaam akidaiwa kumshawishi kwa pesa nyingi mwanamke<br \/>mmoja aliyekuwa akifanya kazi ya uhudumu katika Baa ya Valle In iliyopo Chang\u2019ombe ili afanye tendo la ndoa na wanaume mbalimbali kabla ya kushiriki naye tendo hilo.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Taarifa hizi zimethibitishwa na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo<br \/>waliofikiwa kwa mahojiano na Tanzania PANORAMA akiwemo mwanasheria na<br \/>Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bakhresa Food and Beverage (BFB)<br \/>Rose Mtesigwa.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Katika mahojiano hayo yaliyofanyika wiki hii ofisini kwake Kariakoo,<br \/>Mtesigwa alianza kwa kueleza kuwa hamfahamu Idi Mzee na hana<br \/>kumbukumbu ya kusikia jina hilo mahali popote wala mtu huyo kufanya<br \/>kazi katika Kampuni ya Bakhresa.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Baadaye alisema Idi anayemfahamu yeye ameajiriwa katika Kampuni ya<br \/>Said Salim Bakhresa (SSB) lakini yeye anasimamia wafanyakazi wa Kampuni ya<br \/>Bakhresa Food and Beverage (BFB) na kuelekeza akaulizwe SSB.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\" style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">\u201cHiyo Skendo naifahamu vizuri sana na hata chanzo chenu cha taarifa nakifahamu sana sana tu. Mimi hapa ni HR na wakili wa kampuni pia lakini Idi sinaye mimi hapa, yeye yupo SSB. Nendeni pale mapokezi nampa maelekezo dada hapo chini atawapa namba za HR wa SSB yeye ndiyo anaweza kumzungumzia,\u201d alisema Mtesigwa.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\" style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Mfanyakazi wa mapokezi makao makuu ya makampuni ya Bakhresa aliyejitambulisha kwa jina la Mariam Abdalla alitoa namba kama ilivyoelekezwa na Mtesigwa lakini namba hiyo imekuwa ikiita bila kupokelewa.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\" style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Awali, Mariam Abdalla naye aliieleza Tanzania PANORAMA kuwa analifahamu suala hilo lakini alishangaa ni nani aliyelifikisha kwa waandishi wa habari.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\" style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">\u201cDah! naona sasa siri za kampuni zimeanza kutoka nje. Lakini nawashukuru ninyi ni waungwana sana kwa sababu mmekuja kuutafuta ukweli japo inaonekana mmefikishiwa kila kitu. Ninyi ni wanaume bhana lichukulieni hili jambo kama\u00a0wanaume. Haya ni kweli yapo na sisi tumekuwa tukisema siku yakitoka nje tutaaibika sana.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\" style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">\u201cSasa ujue Idi ni dreva wa mzee Bakhresa mwenyewe kabisa, kweli nawashukuru kwa kupoteza muda wenu kuja walau kupata maelezo ya upande wa pili lakini nataka niwaombe kitu, mimi Idi mtu wangu sana, niacheni nimtafute maana siyo rahisi kumpata kwa sababu simu zake ziko polisi, mpaka saa nane nitakuwa nimempata ili naye kama mlivyo sema aje aseme ilikuwaje kuwaje kwa sababu yapo madai ya kweli ambayo siyo siri yanafahamika lakini kuna mengine huyo mwanamke katia chumvi sana,\u201d alisema Mariam.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\" style=\"font-family:Garamond, serif;line-height:115%;\"><span style=\"font-size:large;\">Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Amon Kakwele hakuwa<br \/>tayari kulizungumzia suala hilo baada ya kupigiwa simu mara kadhaa<br \/>iliyokuwa ikipokelewa na msaidizi wake ambaye alipopokea mara ya<br \/>mwisho alisema bosi wake amemtaka mwandishi afike ofisini kwake<br \/>kuzungumzia suala hilo badala ya kupiga simu.<\/span><span style=\"font-size:36pt;\"><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span lang=\"PT\">\u00a0<\/span><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u00a0 NA CHARLES MULLINDA JESHI la Polisi linasubiri uchunguzi wa kitaalamu wa simu za mkononiza Idi Mzee na mpenzi wake wa kike (jina limehifadhiwa) anayemtuhumu kumnyanyasa kingoni pamoja na kumfanyisha tendo la ndoa na mbwa. Kamanda wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa Mkoa wa Kipolisi waTemeke, Jumanne Mkwama ameiambia Tanzania PANORAMA Blog kuwa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-1106","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1106","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=1106"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1106\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=1106"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=1106"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=1106"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=1106"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}