{"id":11001,"date":"2026-07-10T12:33:15","date_gmt":"2026-07-10T12:33:15","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=11001"},"modified":"2026-07-10T12:33:18","modified_gmt":"2026-07-10T12:33:18","slug":"baada-ya-misri-kutoka-kwenye-michuano-kombe-la-duniawafanya-paredi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=11001","title":{"rendered":"BAADA YA MISRI KUTOKA KWENYE MICHUANO KOMBE LA DUNIA,WAFANYA PAREDI"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Raia nchini Misri wametapakaa katika mitaa ya Al Alamein ijumaa ya Leo wakishuhudia paredi linalofanywa na timu ya taifa ya nchi hiyo wakitokea nchini Marekani katika michuano ya kombe la Dunia<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mashabiki hao waliokuwa wakiwashangilia wachezaji wao hao kila wanapokatiza huku wachezaji hao hao wakipeperusha bendera za nchi hao kama ishara ya kushangilia na kuunga mkono furaha za mashabiki wao ambao shwangwe zilianzia Atalanta nchini Marekani nje ya hoteli ambayo wachezaji hao walifikia na kuendelea tena Nchini Misri ambapo Mara baada ya wachezaji hao kutua katika uwanja wa ndege wa Al Alamein ambapo tenge iliyobeba wachezaji hao ilituwa ikiwa na bango lililoandikwa&#8221;mmetuheshimisha&#8221;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Wachezaji wanatarajiwa kukutana n Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah El sisi ikiwa kama sehemu ya ukaribisho<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Raia nchini Misri wametapakaa katika mitaa ya Al Alamein ijumaa ya Leo wakishuhudia paredi linalofanywa na timu ya taifa ya nchi hiyo wakitokea nchini Marekani katika michuano ya kombe la Dunia Mashabiki hao waliokuwa wakiwashangilia wachezaji wao hao kila wanapokatiza huku wachezaji hao hao wakipeperusha bendera za nchi hao kama ishara ya kushangilia na kuunga [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":11002,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[215],"tags":[],"coauthors":[201],"class_list":["post-11001","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-michezo-kimataifa"],"amp_enabled":true,"jetpack_featured_media_url":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/paredi-la-kutolewa.jpg","_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/11001","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=11001"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/11001\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":11003,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/11001\/revisions\/11003"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/11002"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=11001"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=11001"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=11001"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=11001"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}