{"id":1040,"date":"2018-03-01T14:22:00","date_gmt":"2018-03-01T14:22:00","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.co.tz\/?p=1040"},"modified":"2018-03-01T14:22:00","modified_gmt":"2018-03-01T14:22:00","slug":"waziri-mkuu-majaliwa-ataka-udhibiti-mimba-tandahimba","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=1040","title":{"rendered":"WAZIRI MKUU MAJALIWA ATAKA UDHIBITI MIMBA TANDAHIMBA"},"content":{"rendered":"\n<p><strong><em>RIPOTA WA WAZIRI MKUU<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametaka kuwepo udhibiti wa mimba za utotoni katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.<\/p>\n\n\n\n<p>Akizungumza jana na watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba, alisema ni lazima viongozi wasimamie nidhamu kwa kuwalinda watoto wa kike wa wilaya hiyo dhidi ya mimba ili waendelee na masomo.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cKwa nini kila mwaka mimba Tandahimba zinaongezeka, viongozi simamieni utekelezaji wa sheria kwa kuwachukulia hatua wote waliowapa mimba wanafunzi.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cLazima wahusika wote wakamatwe wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria kwa sababu wanaharibu elimu ya mtoto wa kike,\u201d alisema Waziri Mkuu Majaliwa.<\/p>\n\n\n\n<p>Aidha, Waziri Mkuu Majaliwa aliwataka wazazi na walezi wa watoto wenye mahitaji maalumu kutowafungia ndani na badala yake wawapeleke shule.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cWatakaobainika kuwafungia ndani watoto wenye mahitaji maalumu wachukuliwe hatua za kisheria kwa sababu wanawakosesha haki ya kupata elimu,\u201d alisema Waziri Mkuu Majaliwa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIPOTA WA WAZIRI MKUU WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametaka kuwepo udhibiti wa mimba za utotoni katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba. Akizungumza jana na watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba, alisema ni lazima viongozi wasimamie nidhamu kwa kuwalinda watoto wa kike wa wilaya hiyo dhidi ya mimba ili waendelee na masomo. \u201cKwa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":1041,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-1040","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","5":"has-post-thumbnail","7":"category-uncategorized"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1040","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=1040"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1040\/revisions"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1041"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=1040"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=1040"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=1040"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=1040"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}