{"id":10259,"date":"2026-05-05T13:26:43","date_gmt":"2026-05-05T13:26:43","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=10259"},"modified":"2026-05-05T13:26:51","modified_gmt":"2026-05-05T13:26:51","slug":"bahi-ya-tumia-michezo-kuhamasisha-matumizi-ya-nishati-safi-ya-kupikia","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=10259","title":{"rendered":"BAHI YA TUMIA MICHEZO KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA"},"content":{"rendered":"\n<p>Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kupitia mashindano ya michezo yaliyopewa jina la \u201cNishati Safi Cup\u201d, yakihusisha vijiji 16 kutoka katika kata 8 za wilaya hiyo.<\/p>\n\n\n\n<p>Mashindano hayo, ambayo yataendelea kwa takribani miezi miwili, yanalenga kuunganisha burudani na elimu kwa jamii ili kufikisha ujumbe kuhusu matumizi ya nishati salama, nafuu na rafiki kwa mazingira.<\/p>\n\n\n\n<p>Akizungumza kuhusu kampeni hiyo, Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Francis Kasambala, amesema kupitia mashindano hayo elimu inatolewa kwa njia shirikishi zaidi inayowafikia wananchi wengi kwa urahisi.<\/p>\n\n\n\n<p>Amesema sambamba na michezo, timu ya wataalamu inaendelea kutembelea shule mbalimbali na kuendesha midahalo kwa wanafunzi, lengo likiwa ni kuwajengea uelewa kuhusu faida za matumizi ya nishati safi tangu wakiwa katika umri mdogo.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cTunatumia michezo kama jukwaa la kuelimisha jamii. Kupitia Nishati Safi Cup, tunafikia wananchi wengi zaidi huku tukihamasisha mabadiliko ya tabia katika matumizi ya nishati ya kupikia. Hii ni njia ya vitendo inayosaidia ujumbe kueleweka kwa urahisi,\u201d amesema Kasambala.<\/p>\n\n\n\n<p>Aidha, wananchi mbalimbali wakiwemo wachoma nyama na wafanyabiashara wadogo wamepatiwa elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kupitia mikutano ya hadhara na matukio yanayoambatana na mashindano hayo. huku Elimu hiyo ikilenga kuwasaidia nakutoa uelewa kuhusu faida za kutumia nishati safi katika shughuli zao za biashara, hususan kupunguza gharama na kulinda mazingira.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa upande wake, mtaalamu kutoka Wizara ya Nishati, Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia, Benezeth Kabunduguru, amesema Serikali inaendelea kutoa elimu sambamba na kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuwawezesha wananchi kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia.<\/p>\n\n\n\n<p>Ameongeza kuwa matumizi ya nishati safi si tu yanapunguza athari za mazingira, bali pia yanaboresha afya za wananchi na kupunguza muda na gharama zinazotumika katika shughuli za kupikia,huku akisisitiza kuwa kampeni kama hizi za jamii ni muhimu katika kuharakisha mabadiliko ya tabia nchini.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kupitia mashindano ya michezo yaliyopewa jina la \u201cNishati Safi Cup\u201d, yakihusisha vijiji 16 kutoka katika kata 8 za wilaya hiyo. Mashindano hayo, ambayo yataendelea kwa takribani miezi miwili, yanalenga kuunganisha burudani na elimu kwa jamii ili kufikisha ujumbe kuhusu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":10260,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":true,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[69],"tags":[],"coauthors":[201,253],"class_list":{"0":"post-10259","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","5":"has-post-thumbnail","7":"category-habari-kitaifa"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.com\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/BAHI.jpeg?fit=480%2C600&ssl=1","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/10259","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=10259"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/10259\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":10261,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/10259\/revisions\/10261"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/10260"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=10259"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=10259"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=10259"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=10259"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}