{"id":10100,"date":"2026-05-02T15:57:06","date_gmt":"2026-05-02T15:57:06","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=10100"},"modified":"2026-05-02T15:57:11","modified_gmt":"2026-05-02T15:57:11","slug":"ni-kariakoo-derby-ya-prince-dube-seleman-mwalim","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=10100","title":{"rendered":"NI &#8216;KARIAKOO DERBY&#8217; YA PRINCE DUBE, SELEMAN MWALIM"},"content":{"rendered":"\n<p>SIKIA hii! Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumapili ya wiki hii, Mei 3, 2026, katika Uwanja wa Jenerali Isamuhyo.<\/p>\n\n\n\n<p>Kuelekea mchezo huo wa 20 kwa kila timu msimu huu wa Ligi Kuu Bara, Yanga wako kileleni mwa msimamo, huku Simba ikiipumulia katika nafasi ya pili.<\/p>\n\n\n\n<p>Baada ya kila timu kucheza mechi 19, Yanga inaongoza Ligi baada ya kukusanya pointi 47, wakati Wekundu wa Msimbazi wamekusanya pointi 42.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa upande mwingine, mechi ya wikiendi hii pale Mbweni inabeba taswira ya vita ya mabao kati ya washambuliaji wawili; Prince Dude (Yanga) na Seleman Mwalim (Simba).<\/p>\n\n\n\n<p>Dube raia wa Zimbabwe ndiye kinara wa mabao kwa upande wa kikosi cha Yanga na Ligi Kuu kwa ujumla, akiwa ameshazifumania nyavu mara nane, pia akiwa ametoa &#8216;asisti&#8217; mbili.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa upande wa Mwalim, ambaye pia ni mshambuliaji wa Taifa Stars, ndiye mchezaji mwenye mabao mengi (6 na asisti moja) katika kikosi cha Simba kufikia hatua hii ya msimu wa Ligi Kuu Bara.<\/p>\n\n\n\n<p>Hivyo, endapo atafunga mabao mawili katika &#8216;Kariakoo Derby&#8217; ya Jumapili, si tu atamfikia Dube, bali pia atajiweka kwenye nafasi nzuri ya kukiwania kiatu cha ufungaji bora wa msimu huu wa Ligi.<\/p>\n\n\n\n<p>Mbaya kwake, Mwalim si chaguo la kwanza katika kikosi cha Simba, ingawa kiwango alichokionesha alipotokea benchi katika &#8216;derby&#8217; ya Kombe la Muungano kinaweza kuwa tiketi ya kuingia &#8216;first eleven&#8217; Jumapili hii.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SIKIA hii! Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumapili ya wiki hii, Mei 3, 2026, katika Uwanja wa Jenerali Isamuhyo. Kuelekea mchezo huo wa 20 kwa kila timu msimu huu wa Ligi Kuu Bara, Yanga wako kileleni mwa msimamo, huku Simba ikiipumulia katika nafasi ya pili. Baada ya kila [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":8,"featured_media":10101,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":true,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[79],"tags":[],"coauthors":[203],"class_list":{"0":"post-10100","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","5":"has-post-thumbnail","7":"category-michezo"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.com\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/mwalimu.jpeg?fit=554%2C554&ssl=1","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/10100","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/8"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=10100"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/10100\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":10102,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/10100\/revisions\/10102"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/10101"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=10100"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=10100"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=10100"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=10100"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}