Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Grace, Elizabeth Kilili alipokuwa akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anuarite iliyopo Makoka, jijini Dar es Salaam.
Alisema vipodozi vyenye sumu vinasababisha saratani ya ngozi, kuua nguvu za kiume na kuharibu ukuaji wa mtoto aliye tumboni.
Vipodozi vikali chanzo cha saratani
Vipodozi vikali chanzo cha saratani
DAR ES SALAAM
Matumizi ya vipodozi vyenye viambata sumu yanasababisha ugonjwa wa saratani.