Saturday, 22 August 2026

Mtaka alaumu mashirika ya afya

Mtaka alaumu mashirika ya afya SIMIYU MKUU wa  Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka ameyalaumu mashirika ya afya yaliyopo Mkoa wa Simuyu kwa kushindwa kutatua changamoto za afya kwa wananchi. Lawama hizo alizitoa katika kikao cha wadau wa afya mkoani Simiyu kilichoshirikisha mashirika yote. Alisema wingi wa mashirika hayo ni kiashiria cha kuwepo matatizo mengi ya […]

Mtaka alaumu mashirika ya afya
SIMIYU
MKUU wa  Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka ameyalaumu mashirika ya afya yaliyopo Mkoa wa Simuyu kwa kushindwa kutatua changamoto za afya kwa wananchi.
Lawama hizo alizitoa katika kikao cha wadau wa afya mkoani Simiyu kilichoshirikisha mashirika yote.
Alisema wingi wa mashirika hayo ni kiashiria cha kuwepo matatizo mengi ya afya mkoani Simiyu.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *