Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari.
Tanzania Panorama imefika bandarini hapo kuangalia mwenendo wake wa sasa na kufanya mahojiano na Meneja wa Bandari hiyo, Masoud Athuman Mrisha ambaye anafafanua mambo mengi kuhusu bandari hii kongwe nchini
Tanga wanatoa mafunzo ya mashine au mitambo
Hapana, hawatoi mafunzo yoyote. Hivyo ni vitendea kazi kwa ajili ya Bandari na si kwa ajili ya mafunzo