Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa kuaga mwili wa mbunge wa zamani wa Butiama na Musoma Vijijini, Wakili Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Karimjee mkoani Dar es Salaam, Mei 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mbunge wa zamani wa Butiama na Musoma Vijijini, Wakili Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Karimjee mkoani Dar es Salaam, Mei 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Baadhi ya viongozi walioshiriki kuaga mwili wa mbunge wa zamani wa Butiama na Musoma Vijijini, Wakili Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Karimjee mkoani Dar es Salaam, Mei 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole mjane wa mbunge wa zamani wa Butiama na Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, Mary Mkono wakati wa kuaga mwili wa wakili huyo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Mei 28, 2023. Wa pili kushoto Deborah Nyakirang’ani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
