PICHA NAMBA 1, 2, 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika futari aliyowaandalia wabunge na watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA NAMBA 4, 5
Wabunge na watumishi wa Bunge, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokuwa akiongea nao wakati wa futari aliyowaandalia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA NAMBA 6, 7
Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza wsakai wa futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa wabunge na watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA NAMBA 8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson wakati wa futari aliyowaandalia wabunge na watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)