PICHA NAMBA 1, 2, 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Faithnancy Aloyce Mwanjile, ambaye ni mtoto wa Brigedia Jenerali Mstaafu, Aloyce Mwanjile, Bunju mkoani Dar es Salaam, Aprili 8, 2023. Kushoto ni mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA NAMBA 4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji Anna Bethuweli Mushi (kushoto) ambaye ni mama wa Marehemu Faithnancy Aloyce Mwanjile, alipohani msiba huo nyumbani kwa Brigedia. Jenenali Mstaafu, Aloyce Mwanjile, Bunju mkoani Dar es Salaam, Aprili 8, 2023. Katikati ni mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA NAMBA 5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Brigedia. Jenerali Mstaafu, Aloyce Mwanjile alipohani msiba wa Marehemu Faithnancy Aloyce Mwanjile, ambaye ni mtoto wa Brigedia Jenerali Mstaafu Mwanjile, Bunju mkoani Dar es Salaam, Aprili 8, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)