Wednesday, June 11, 2025
spot_img

HABARI PICHA WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ALIPOWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dk. Jim Yonazi (kushoto) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA YA 2, 3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dk. Jim Yonazi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2023/2024, Aprili 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA YA 4

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndaliko (katikati) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA YA 5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndaliko (kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi (wa pili kushoto) baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Wiri Mkuu)

PICHA YA 6

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2023. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na kushoto kwake ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Viana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya