Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha tuzo aliyopokea kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyotolewa na Taasisi ya Maboresho ya Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) kwa kutambua utendaji kazi wake alipomuwakilisha Rais Samia katika ufunguzi wa mkutano wa taasisi hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
PICHA YA 2, 3, 4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wanachama wa Taasisi ya Maboresho ya Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa mkutano wa taasisi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
PICHA YA 5, 6
Viongozi na wanachama wa Taasisi ya Maboresho ya Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) wakisikiliza hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 4, 2023. Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)