Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akiingia katika ukumbi wa Bunge, Dodoma, Aprili 4, 2023.
PICHA YA 2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, bungeni Jijini Dodoma, Aprili 4, 2023.
PICHA YA 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni Jijini Dodoma, Aprili 4, 2023.
PICHA YA 4, 5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni Jijini Dodoma, Aprili 4, 2023.
PICHA 6, 7, 8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue, bungeni Jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)