Monday, June 9, 2025
spot_img

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIMWAKILISHA RAIS SAMIA MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza waumini na viongozi wa dini ya Kiislam wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 5

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana akizungumza wakati wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam, Aprili 02, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 6

Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akimkabidhi mshindi wa pili wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wanawake, Rabia Abdalah Qassim, namba ya usajili wa pikipiki baada ya kuibuka mshindi wa pili wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 7

1396 Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akimkabidhi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wanawake, Asma Rubea Salehe, namba ya usajili ya pikipiki ya kubebea mizigo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 8

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Juzuu (30) upande wa wavulana, Suleiman Omar Ally, Pikipiki, baada ya kuibuka mshindi wa pili wa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Asha Sururu yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya