Monday, December 23, 2024
spot_img

BoT, NBS WATOA ELIMU YA UCHAKATAJI HABARI ZA UCHUMI KWA WAANDISHI

HABARI KATIKA PICHA

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Dk. Albina Chuwa akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu njia zinazotumiwa na ofisi yake kukusanya takwimu zinazotumiwa katika maoteo ya ukuaji wa uchumi na mfumuko wa bei pamoja na shughuli nyingine zinazofanywa na ofisi yake. Mafunzo hayo yalifanyika jana katika Ukumbi wa Benki Kuu (BoT), Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa Benki Kuu (BoT) Suleiman Missango akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu namna ya kuchakata habari za ukuaji wa uchumi na mfumuko wa bei. Mafunzo hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa BoT
Mtaalamu wa mambo ya uchumi, Walter Nguma akiwasillisha mada kuhusu hali ya uchumi duniani wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu namna ya kuchakata habari za uchumi. Mafunzo hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT)
Waandishi wa habari walioshiriki mafunzo ya kuchakata habari za uchumi yaliyofanyika jana katika ukumbbi wa Benki Kuu (BoT) wakifuatilia mada zilizotolewa.

Mhariri wa Gazeti la Raia Mwema, Martin Marela akiuliza swali wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu namna ya kuchakata habari za uchumi yaliyofanyika jana kwenye ukumbi wa BpT
Mmoja wa waandishi walioshiriki mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu namna ya kuchakata habari za uchumi akiuliza swali. Mafunzio hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa BoT.
Mwandishi Mwandamizi, Gabriel Mushi akifuatilia mafunzo kuhusu namna ya kuchakata habari za uchumi yaliyofanyika jana kwenye ukumbi wa BoT
Mkurugenzi wa Sera na utafiti wa Benki Kuu (BoT) Dk. Suleiman Missango akitoa elimu kwa waandishi wa habari kuhusu maana halisi ya soko la dunia na athari za kiuchumi kwa Taifa zinazosababishwa na kuporomoka kwa uchumi wa dunia. Mafunzo hayo yalifanyika jana kwenye ukumbu wa BoT.

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya