Wednesday, December 25, 2024
spot_img

RAIS SAMIA, VIONGOZI WA KITAIFA WASHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

RAIS Samia Suluhu Hassan, akizungumza na karani wa sensa, Phausta Ntigiti aliyefika katika makazi yake mapema leo asubuhi, Ikulu ya Chamwino, Dodoma kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Ā 

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdor Mpango na mkewe Mbonimpaye Mpango, wakizungumza na karani wa sensa, Isack Mgosho aliyefika katika makazi yao yaliyopo Chanika, Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Ā 

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na karani wa Sensa, Amina Mwambe aliyefika katika makazi yake yaliyopo Kijiji cha Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Ā 

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akizungumza na karani wa sensa, Faith BuruhaniĀ aliyefika katika makazi yake Msasani, Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Ā 


SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na karani wa sensa aliyefika katika makazi yake yaliyopo Mtaa wa Sisimba, Uzunguni jijini Mbeya kwa ajili ya shughulii ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Gairo kilichopo Kijiji cha Ikungu, Justin Juma MghwaiĀ wakizungumza na karani wa sensa, Scovia Mkempia Deus aliyefika katika makazi ya mkuu huyo wa wilaya kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Ā 


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Sharifa Nabalangā€™anya akizungumza na karani wa sensa, Edward Mlowe aliyefika katika makazi yake kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya