Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ambaye ni kiongozi wa jopo la uangalizi la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya, akiwa picha na wagombea urais wa William Ruto wa Umoja wa Vyama vya Kenya kwanza na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama Azimio la Umoja, alipokutana nao kwa mazungumzo kwa nyakati tofauti