Rais Samia Suluhu Hasaan alipokutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mahomed, Jijini NewYork Marekani (Picha zote kwa hisani ya Ikulu)
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Masuala ya Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) inayoratibu masuala ya kibinadamu, Joyce Msuya, Jijini New York, Marekani.. (Picha kwa hisani ya Ikulu)