Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni katika Makao Makuu ya Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) jijini Brussels, Ubelgiji mara baada ya kutoa hotuba yake mbele ya mabalozi wa umoja huo Februari 15 Februari, 2022. (Picha kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu)
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels, Ubelgiji, Februari 15, 2022 (Picha kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu)
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Mkutano wa Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliofanyika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels Ubelgiji, Februari 15 , 2022. (Picha kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasliano ya Rais Ikulu)