Tuesday, June 24, 2025
spot_img

RAIS SAMIA KATIKA BARAZA LA UMOJA WA ULAYA

 

     

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel baada ya kumlaki katika makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel wakiingia makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel mara baada ya kuwasili makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais) 

 

Rais Samia Suluhu Hassan akijiandaa kuzungumza mara baada ya kuwasili makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya