RAIS Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO . Aundrey Axoulay alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris, Ufaransa jana. Rais Samia alikuwa nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. (Picha kwa hisani ya mpiga picha wa Ikulu)
Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi za UNESCO Makao Makuu, zilizopo Paris Ufaransa. (Picha ya kwa hisani ya mpiga picha wa Ikulu) |