Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo wakiendelea na mkutano unaofanyika katika Hotel ya ONOMO (Ramada), jijini Dar es Salaam kujadili hali ya kisiasa nchini na hatma ya chama hicho kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK).
Like this:
Like Loading...