Wednesday, December 25, 2024
spot_img

RAIS WA TFF KUMMALIZA WAMBURA LEO?



Karia
DAR ES SALAAM

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia ameitisha mkutano na wahariri wa habari za michezo, leo.Mkutano huo unatarajiwa kufanyika katika Hotel ya Sea Scape, iliyopo Dar es Salaam saa 4.00 asubuhi.
Inatarajiwa kuwa, Rais Karia atautumia mkutano huo kutoa ufafanuzi wa tuhuma ambazo Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura amezielekeza kwa taasisi anayoiongoza.
Aidha, haina shaka kuwa Rais Karia atautumia mkutano huo kuzungumzia kwa kina uamuzi wa kumfungia milele, Wambura kutojihusisha na shughuli za michezo. 

Previous article
Next article

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya